SEHEMU ya kwanza ya makala hii iliangazia namna mwendesha pikipiki alivyookuwa natafuta mkaa porini na kukumbwa na changamoto ...
MKUU wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Makete, mkoani Njombe, anadaiwa kumkamata mwananchi, Levis Mahenge, kumpeleka Kituo cha ...
WATU wanne wamekufa na wengine 15 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Kapricon (T 605 DJR) iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Arusha kupata ajali na kupinduka katika eneo la Maili Kumi, ...
Naye Waziri wa masuala ya uchukuzi Suriya Jungrungreangkit ameeleza kwamba idadi kamili ya watu waliofariki katika ajali hiyo haijulikani japokuwa hatima ya watu 25 haikuwa imejulikana.
Muonekano wa Barabara ya Isyonje Wilaya ya Mbeya kwenda Kikondo Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe. Mbeya. Wakazi wa vijiji vya Mwela ... hayati Edward Sokoine alipofariki kwa ajali ya gari mkoani ...
1984 kwa ajali ya gari eneo la Dakawa wilayani Mvomero, mkoani Morogoro akitokea Dodoma kwenda Dar es Salaam. Makinda aliyewahi kuwa mbunge wa Njombe Kusini, ameeleza hayo leo Jumatano Septemba 25, ...
Tanzania Breweries Limited (TBL), kwa kushirikiana na Shirika la Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS), imezindua mpango wa mafunzo na elimu kwa waendesha pikipiki wenye lengo la kuboresha usalama ...
Ajali hii bado haijaelezwa. Mamlaka ya Brazili inafanya kazi Jumamosi Agosti 10 ili kuopoa miili ya wahanga 62 wa ajali ya kusangaza ya ndege karibu na Sao Paulo, kusini-mashariki mwa Brazili ...
Mwanamume mmoja aliyepoteza familia yake ya watu watano katika ajali ya ndege ya Boeing ilioanguka nchini Ethiopia anasema kuwa yeye na familia za waathiriwa wengine wa mkasa huo hawatakubali ...
Maelezo ya picha, Gavana wa kaunti ya Nyeri nchini Kenya Wahome Gakuru amefariki mapema siku ya Jumanne kufuatia ajali mbaya ya barabarani 7 Novemba 2017 Gavana wa kaunti ya Nyeri nchini Kenya ...
WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama amesema jumla watu 34,767 wamepata huduma za kibingwa na bobezi katika awamu ya pili ya ...