1984 kwa ajali ya gari eneo la Dakawa wilayani Mvomero, mkoani Morogoro akitokea Dodoma kwenda Dar es Salaam. Makinda aliyewahi kuwa mbunge wa Njombe Kusini, ameeleza hayo leo Jumatano Septemba 25, ...
Muonekano wa Barabara ya Isyonje Wilaya ya Mbeya kwenda Kikondo Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe. Mbeya. Wakazi wa vijiji vya Mwela ... hayati Edward Sokoine alipofariki kwa ajali ya gari mkoani ...
Naye Waziri wa masuala ya uchukuzi Suriya Jungrungreangkit ameeleza kwamba idadi kamili ya watu waliofariki katika ajali hiyo haijulikani japokuwa hatima ya watu 25 haikuwa imejulikana.
SEHEMU ya kwanza ya makala hii iliangazia namna mwendesha pikipiki alivyookuwa natafuta mkaa porini na kukumbwa na changamoto ...
Looking for information on Njombe Airport, Njombe, Tanzania? Know about Njombe Airport in detail. Find out the location of Njombe Airport on Tanzania map and also find out airports near to Njombe.
MKUU wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Makete, mkoani Njombe, anadaiwa kumkamata mwananchi, Levis Mahenge, kumpeleka Kituo cha ...
Ripoti nyingine mpya ya tathimini ya uchunguzi wa hali na mazingira ya kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa mwaka 1961 Dag Hammarskjöld imetolewa leo ikiwa na vipengele vinne vipya ...
Kinyume cha hivyo ujumbe utakuwa sivyo ndivyo na ndio maana hii leo, mbobezi wa lugha ya Kiswahili, Joramu Nkumbi kutoka Tanzania anafafanua tofauti ya maana ya maneno Ajali na Ajari, hasa pale ...
Waziri mkuu wa Thailand alisema ajali hiyo ilisababisha "vifo na majeruhi" - lakini idadi kamili ya waliofariki bado haijathibitishwa. Picha zinaonyesha basi hilo likiwa limeharibiwa kabisa na ...
WATU wanne wamekufa na wengine 15 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Kapricon (T 605 DJR) iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Arusha kupata ajali na kupinduka katika eneo la Maili Kumi, ...
SHIRIKA la Msalaba Mwekundu (TRCS) kwa kushirikiana na Kampuni ya Breweries Limited imezinduzi wa mpango wa mafunzo kwa waendesha piki piki kwa lengo kuwapa elimu ya kupunguza ajali. Akizungumza ...